2. Utatu Mtakatifu
Kuna Mungu mmoja: Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, umoja wa Nafsi tatu za milele. Mungu hapatikani na mauti, mwenye nguvu zote, ajuaye yote, zaidi ya yote, na aliyeko daima. Yeye hana mwisho na ni zaidi ya ufahamu wa kibinadamu, hata hivyo anafahamika kupitia kujifunua kwake Binafsi. Milele zote yu astahili kuabudiwa, kusujudiwa, na viumbe wote
Mafungu ya Biblia
Kumb. 6:4; Mathayo 28:19; IIWakor. 13:14; Waef. 4:4-6; IIPet. 1:2; Itim. 1:17; Ufnl 14:7
