18. Karama ya Unabii
Mojawapo ya karama za Roho Mtakatifu ni unabii. Karama hii ni alama – kitambulishi cha kanisa la masalio na ilidhihirishwa katika huduma ya Ellen G White. Kama mjumbe wa Bwana, maandishi yake ni chanzo kiendelezi na yenye mamlaka ya ukweli yanayolipatia kanisa faraja, uongozi, mafundisho, na maonyo. Pia yanaweka wazi kwamba Biblia ndiyo kanuni ambayo kwayo mafundisho yote na uzoefu lazima vipimwe
Mafungu ya Biblia
Yoeli 2:28, 29; Mdo. 2:14 – 21; Waebr. 1:1 – 3; Ufun. 12:17; 19:10
