P.O. Box 346, Dodoma, Tanzania Sabato: 8:00 AM – 1:00 PM
Nyumbani / Wasiliana Nasi

Wasiliana na Mbuyuni SDA Church

Tupo tayari kukusikiliza, kukuombea, kukupa maelekezo ya kufika kanisani, na kukusaidia kupata masomo ya Biblia, afya, familia na maisha ya Kikristo.

Mahali Tulipo

P.O.BOX 346, Kizota, Mbuyuni, Dodoma, Tanzania.

Email

mbuyunisda@gmail.com
Tutakujibu mara tu tutakapopokea ujumbe wako.

Tuma Ujumbe

Tuma ujumbe kwa kanisa

Jaza fomu hapa chini kwa ajili ya maombi, maelekezo, ushauri wa kiroho, masomo ya Biblia au taarifa nyingine yoyote unayohitaji.

Andika Ujumbe Wako

Tafadhali jaza taarifa zako kwa usahihi ili tuweze kuwasiliana nawe kwa urahisi.

Taarifa za Mawasiliano

Kanisa la Mbuyuni SDA linapatikana Kata ya Kizota, eneo la Mbuyuni, Dodoma. Unaweza kututafuta kupitia taarifa hizi hapa chini.

Karibu sana. Mungu akubariki. Tupo tayari kukupokea, kukuombea na kukusaidia kujifunza zaidi kuhusu Neno la Mungu.
Ramani

Mahali kanisa linapatikana

Ramani hii inakusaidia kupata eneo la Mbuyuni SDA Church. Kama ramani haioneshi moja kwa moja, tumia button ya kufungua Google Maps.

Mbuyuni SDA Church

Kizota, Mbuyuni, Dodoma, Tanzania. Fungua Google Maps kwa maelekezo zaidi ya safari.

Fungua Google Maps

Kama unahitaji kujifunza zaidi, wasiliana nasi

Unahitaji masomo ya Biblia, maombi, ushauri wa kiroho au maelekezo ya kufika kanisani? Tupo tayari kukukaribisha na kukusaidia katika safari ya imani.